Katika maisha kuna mambo mengi sana hutokea yaweza kuwa mazuri au mabaya.Pia kuna kufanikiwa na kutokufanikiwa katika maisha yanayo tuzunguka kwa namna moja ama nyingine.Na mafaniko mazuri hayaji kwa kuyangojea bali kuyafata huko yaliko.
Hivyo basi juhudi na uwezo wa kufanya kazi ndio njia sahihi ya kufanikiwa katika maisha na si kungojea mafanikio yakufate hapo uliko utakua una poteza muda na miaka inazidi kwenda.Pia mawazo mazuri ya watu huleta hamasa katika mafanikio yako uwe unasoma au mfanyakazi bila mawazo ya watu huwezi kuendelea mbele katika mambo yako.
Pia ukiwa na wivu wa maendeleo uongeza hamasa katika shughuli zako penda kujifunza mambo mengi na hata kama utaiga yale unayo yaona yanakufaa katika kazi zako za kila siku,kwani maendeloo huletwa na mwenyewe na sio mtu mwingine.NGUVU,JUHUDI NA KUJITUMA huleta mafanikio yalio bora.
BILA JUHUDI HUWEZI KUFANIKIWA HATA SIKU MOJA.
ReplyDelete